Kitanga cha nyota
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine

Kitanga cha nyota ni eneo lautegili wenyejoto sana lililo tabaka la juu zaidi laangahewa lanyota, hasaJua.[1] Ndani ya kitanga mna miundo iitwayondimi.
Kitanga cha Jua kiko juu yaangarangi na kinaeneamamilioni yakilometa kwenyeanga-nje. Kitanga kinahalijoto kali sana inayopitakelvini 1,000,000,joto zaidi yauso wa Jua.[2] Ingawa kitanga kina joto zaidi,uso wa Jua ni angavu zaidi kabisa. Kwa hiyo, kwa kawaida kitanga hakionekaniduniani, lakini kinaonekana wazi sana wakati wakupatwa kwa Jua, ambapo uso wa Jua unafunikwa naMwezi na kitanga kinaanza kuonekana kama miale yanuru izingirayo Jua.

| Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitanga cha nyota kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |