Kitamajaq (piaKitawallammat) nilugha ya Kiafrika-Kiasia nchiniNiger naMali inayozungumzwa naWatamajaq. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitamajaq nchini Niger imehesabiwa kuwa watu 450,000. Pia kuna wasemaji 190,000 nchini Mali na wachache wengine nchiniNigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamajaq iko katika kundi la Kiberber.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitamajaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |