Kitai-Yo (piaKitai-Do) nilugha ya Kitai-Kadai nchiniVietnam naLaos inayozungumzwa naWatai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Yo nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji 7200 nchini Laos (1995) ambao hudai kwamba wametoka nchi ya Vietnam kiasili. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Yo iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitai-Yo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |