Kitagalaka
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kitagalaka nilugha ya Kipama-Nyungan nchiniAustralia inayozungumzwa naWatagalaka katika jimbo laQueensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na msemaji mmoja wa Kitagalaka tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagalaka kiko katika kundi la Kipaman.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitagalaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |