Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kisuundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisuundi nilugha ya Kibantu nchiniJamhuri ya Kongo inayozungumzwa naWasuundi. Mwaka wa2000 idadi ya wasemaji wa Kisuundi imehesabiwa kuwa watu 121,000. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kisuundi iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKisuundi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kisuundi&oldid=1109998"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp