Kisorsoganon-Kusini
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kisorsoganon-Kusini (auKiwaray) nilugha ya Kiaustronesia nchiniUfilipino inayozungumzwa naWasorsoganon. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kisorsoganon-Kusini imehesabiwa kuwa watu 85,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisorsoganon-Kusini iko katika kundi la Kifilipino.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKisorsoganon-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |