Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kisobadilika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihisabati,kisobadilika ninamba ambayothamani yake haibadiliki.[1] Namba kama 1, 2, 3, n.k. ni visobadilika, lakini vinaweza kuchukua thamani zisizofahamika. Kwa mfano, fikiriamlinganyo wahusisho mstari:

f(x)=ax+b{\displaystyle f(x)=ax+b}

Hapa,x nikigeugeu, namba ambayo thamani yake siyo thabiti. Nambaa nab ni visobadilika; thamani zake ndizo thabiti hata zisipofahamika. Kisobadilika chenye thamani isiyofahamika mara nyingi huitwakizigeu.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili(PDF). TUKI.
Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKisobadilika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kisobadilika&oldid=1371060"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp