Kisigino ni sehemu ya nyuma yamguu wamwanadamu iliyo nyuma ya upinde na chini yakifundo cha mguu. Pia kisigino kinaweza kuwa chakiatu.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yaanatomia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKisigino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |