Kisasak
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kisasak (piaKilombok) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWasasak kwenye kisiwa chaLombok. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisasak imehesabiwa kuwa watu 2,100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisasak iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKisasak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |