Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kisahu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisahu nilugha ya Kipapua nchiniIndonesia inayozungumzwa naWasahu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisahu imehesabiwa kuwa watu 7500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisahu iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKisahu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kisahu&oldid=1001213"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp