Kiroma nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWaroma kwenye kisiwa chaRomang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiroma imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiroma iko katika kundi la Kitimor-Babar.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiroma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |