Kirapa nilugha ya Kiaustronesia nchiniPolinesia ya Kifaransa inayozungumzwa naWarapa kwenye kisiwa chaRapa Iti. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirapa imehesabiwa kuwa watu 300. Warapa wengi wanatumia lugha yaKitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kirapa iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirapa iko katika kundi la Kioseaniki. Wataalamu wengine huiangalia kamalahaja yaKiaustral.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKirapa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |