Kipu-Xian
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kipu-Xian nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniUchina inayozungumzwa naWahan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipu-Xian nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 2,520,000. Pia kuna wasemaji 24,700 nchiniMalaysia (2006) na 14,100 nchiniSingapuri (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipu-Xian iko katika kundi la Kichina.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKipu-Xian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |