Kipendau nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWapendau kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipendau imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipendau iko katika kundi la Kicelebiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKipendau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |