Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kipamona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipamona (piaKibaree) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWapamona kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipamona imehesabiwa kuwa watu 137,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipamona iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKipamona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kipamona&oldid=1000792"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp