Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kioromo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lahaja za Kioromo[1].

Kioromo nilugha yaWaafrikamilioni 34 hivi. Ndiyo lugha kubwa nchiniEthiopia, na inatumika hataKenya naSomalia, ikiwa yannebaraniAfrika kwa wingi wa watumiaji. Kati yalugha za Kikushi ndiyo ya kwanza.

Inagawanyika hasa kati yaKioromo-Mashariki,Kioromo-Mashariki naKioromo-Kusini.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Kebede Hordofa Janko, Towards the Genetic Classification of the Afaan Oromoo Dialects, Cushitic and Omotic Studies, 2 (Köln: Rüdiger Köppe Verlag, 2012)
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKioromo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kioromo&oldid=1318236"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp