Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kinuosu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinuosu nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniUchina inayozungumzwa naWayi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinuosu nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni mbili. Pia kuna wasemaji nchiniVietnam,Laos naUthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinuosu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKinuosu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kinuosu&oldid=1263757"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp