Kingamini kilikuwalugha ya Kipama-Nyungan nchiniAustralia iliyozungumzwa naWangamini katika jimbo laAustralia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingamini ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingamini kiko katika kundi la Kikarniki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKingamini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |