Kindengereko
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kindengereko nilugha ya Kibantu nchiniTanzania inayozungumzwa naWandengereko. Mwaka wa2013 idadi ya wasemaji wa Kindengereko imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kindengereko iko katika kundi la P10.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKindengereko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |