Kimusey nilugha ya Kiafrika-Kiasia nchiniChad naKamerun inayozungumzwa naWamusey. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimusey nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 209,000. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimusey iko katika kundi la Kichadiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKimusey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |