Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kimon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimon nilugha ya Kiaustro-Asiatiki nchiniMyanmar naUthai inayozungumzwa naWamon. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimon nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 743,000. Pia kuna wasemaji 108,000 nchini Uthai (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimon iko katika kundi la Kimoniki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKimon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kimon&oldid=1287810"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp