Kimodole
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kimodole nilugha ya Kipapua nchiniIndonesia inayozungumzwa naWamodole. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimodole imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimodole iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKimodole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |