Kimeru (Kenya)
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kimeru (auKimîîru) nilugha ya Kibantu nchiniKenya inayozungumzwa naWameru. Isichanganywe nalugha ya Kimeru nchiniTanzania. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimeru imehesabiwa kuwa watu 1,658,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kimeru iko katika kundi la E50.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKimeru (Kenya) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |