Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kimemoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimemoni nilugha ya Kihindi-Kiulaya nchiniPakistan inayozungumzwa naWamemoni. Idadi ya wasemaji wa Kimemoni haijulikani lakini hasa ni watu wazima, yaani lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimemoni kiko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKimemoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kimemoni&oldid=1287644"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp