Kimakasar
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kimakasar nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWamakasar kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimakasar imehesabiwa kuwa watu 2,130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakasar iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKimakasar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |