Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kilezgi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilezgi nilugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchiniUrusi inayozungumzwa naWalezgi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilezgi nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 402,000. Pia kuna wasemaji 178,000 nchini Azerbaijan (1999) na wengine nchiniGeorgia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilezgi iko katika kundi la Kilezgiki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKilezgi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kilezgi&oldid=1287125"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp