Kilambadi
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kilambadi nilugha ya Kihindi-Kiulaya nchiniUhindi inayozungumzwa naWalambadi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilambadi imehesabiwa kuwa watu 4,150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilambadi iko katika kundi la Kiaryan.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKilambadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |