Kilaiyolo (piaKibarang-Barang) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWalaiyolo naWabarang-Barang kwenye kisiwa chaSelayar. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilaiyolo imehesabiwa kuwa watu 800, yaani Walaiyolo 250 na Wabarang-Barang 550. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaiyolo iko katika kundi la Kicelebiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKilaiyolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |