Kikunbarlang
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kigunbarlang (piaKikunbarlang auKiwarlang) nilugha ya Kigunwinyguan nchiniAustralia inayozungumzwa naWagunbarlang katika jimbo laNorthern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kigunbarlang ilihesabiwa kuwa watu kumi na tisa tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigunbarlang kiko katika kundi la Kigunwinggiki pamoja naKigunwinggu.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKikunbarlang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |