Kikuku-Yalanji
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kikuku-Yalanji nilugha ya Kipama-Nyungan nchiniAustralia inayozungumzwa naWakuku katika jimbo laQueensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikuku-Yalanji 360, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Yalanji kiko katika kundi la Kiyalandyiki.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKikuku-Yalanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |