Kikhirwar nilugha ya Kidravidi nchiniUhindi inayozungumzwa naWakhirwar. Idadi ya wasemaji wa Kikhirwar imehesabiwa kuwa watu 34,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhirwar iko katika kundi la Kigondi.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKikhirwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |