Kikao cha hekima
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kikao cha hekima (kwaKilatini:sedes sapientiae; kwaKiingereza:Seat of Wisdom auThrone of Wisdom) ni sifa mojawapo ambayo kuanziakarne ya 11[1]Wakristo kadhaa wanampatiaBikira Maria kamamama waYesu,Mungu Mwana ambaye niNeno naHekima yaBaba.
Jina hilo limeenezwa hasa nalitania yaLoreto[2].
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link)![]() | Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKikao cha hekima kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |