Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kikanisa cha Sisto IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jengo lapembenne katikati ya picha ndilo Kikanisa cha Papa Sisto IV.
Mchoro wa ukutani waYesu kumpaMt. Petrofunguo zaufalme wa mbinguni, kazi yaPerugino.
Dari ya Kikanisa cha Sisto IV ilichorwa naMichelangelo.
Mchoro maarufu zaidi wa Michelangelo niMunguakimuumbaAdamu.
Hukumu ya mwisho ilivyochorwa na Michelangelo katika ukuta juu yaaltare.

Kikanisa cha Sisto IV (kwaKiitaliaCappella Sistina) nikikanisa kikubwa nchiniVatikani, ambayo ndiko anakoishiPapa waKanisa Katoliki loteduniani.

Kikanisa hicho kilijengwa miaka1473-1481 naGiovanni dei Dolci kwa ajili yaPapa Sisto IV.

Kikanisa hicho kinatumika mara chache kwaibada muhimu sana, na hasa kwauchaguzi waPapa mpya unaofanywa namakardinali wote wasiozidiumri wa miaka 80.

Kwa kawaida zaidi ni mahali pautalii kutokana nasanaa zilizochorwakutani nadarini hasa naMichelangelo,mchoraji waRenaissance miaka1505-1541.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kikanisa_cha_Sisto_IV&oldid=1274369"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp