Kikaduo nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniUchina naLaos inayozungumzwa naWakaduo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaduo nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 180,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Laos (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaduo iko katika kundi la Kingwi.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKikaduo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |