Kiguro
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kiguro nilugha ya Kiniger-Kongo nchiniCote d'Ivoire inayozungumzwa naWaguro. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiguro imehesabiwa kuwa watu 332,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguro iko katika kundi la Kimande.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiguro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |