Kifafa (kwaKiingerezaEpilepsyis, kutokakitenzi chaKigiriki ἐεπιλαμβάνειν, eepilambanein,kuteka aukutesa[1]) nikundi lamaradhi ya neva yanayofanana kwadalili za matukio yakupatwa,[2] ambayo yanaweza kudumumuda mfupi sana karibu bila kugundulika hadi muda mrefu wa kutikisika kwa nguvumwili mzima.[3] Matukio hayo yanaelekea kurudiarudia bila sababu inayoeleweka kwa kila tukio[2] wakati matukio ya namna hiyo yenye sababu inayoeleweka si ya kifafa kweli.
Ili kusema ni kifafa,daktari anapaswa kwanza kutambua hakuna sababu zinazoeleweka za dalili kama hizo, kwa mfano kuzimia.[4] Mara nyingi kifafa kinaweza kuthibitishwa naelectroencephalogram (EEG).[4]
Katika 70% za matukio inawezekana kuyadhibiti.[6] Isipowezekana tiba, pengineupasuaji,uchocheaji wa neva na mabadiliko ya ulaji vinatumika. Si kila mara kifafa kinadumumaisha yote: kuna watu wanaopatanafuu kiasi cha kutohitaji tena dawa.
↑Magiorkinis E, Kalliopi S, Diamantis A (Januari 2010). "Hallmarks in the history of epilepsy: epilepsy in antiquity".Epilepsy & behavior: E&B.17 (1): 103–108.doi:10.1016/j.yebeh.2009.10.023.PMID19963440.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)
123Longo, Dan L (2012). "369 Seizures and Epilepsy".Harrison's principles of internal medicine (tol.la18th). McGraw-Hill. uk.3258.ISBN978-0-07-174887-2.
↑Eadie, MJ (Desemba 2012). "Shortcomings in the current treatment of epilepsy".Expert Review of Neurotherapeutics.12 (12): 1419–27.doi:10.1586/ern.12.129.PMID23237349.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
World Health Organization, Department of Mental Health and Substance Abuse, Programme for Neurological Diseases and Neuroscience; Global Campaign against Epilepsy; International League against Epilepsy (2005).Atlas, epilepsy care in the world, 2005(pdf). Geneva: Programme for Neurological Diseases and Neuroscience, Department of Mental Health and Substance Abuse, World Health Organization.ISBN92-4-156303-6.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKifafa kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.