Kifaa michoro
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Katikautarakilishi na katikakiolesura michoro cha mtumiaji,kifaa michoro aukipengee michoro ya kidhibiti (kwaKiingereza:graphical widget augraphical control element) ni kipengee cha maingiliano, kamakitufe aumwambaa biringizi. Kifaa michoro ni kijenzi chaprogramu kinachotumika ili kuingiliatarakilishi.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |