Kiemem
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kiemem (piaKiemumu) nilugha ya Kipapua nchiniIndonesia inayozungumzwa naWaemem. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiemem imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiemem iko katika kundi la Kipauwasi.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiemem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |