Kidondo
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kidondo nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWadondo kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidondo imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidondo iko katika kundi la Kicelebiki.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKidondo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |