Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kidhimal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhimal nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniNepal naUhindi inayozungumzwa naWadhimal. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidhimal nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 19,300. Pia kuna wasemaji 450 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhimal iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKidhimal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kidhimal&oldid=1285170"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp