Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kicebuano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicebuano nilugha ya Kiaustronesia nchiniUfilipino inayozungumzwa naWacebuano. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kicebuano imehesabiwa kuwa watu 15,800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicebuano iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKicebuano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kicebuano&oldid=1284954"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp