Kibungku (piaKinahina auKitambuku) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWabungku kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibungku imehesabiwa kuwa watu 27,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibungku iko katika kundi la Kicelebiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKibungku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |