Kibolia nilugha ya Kibantu nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo huzungumzwa naWabolia. Mwaka wa2000 idadi ya wasemaji wa Kibolia imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kibolia iko katika kundi la C40.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKibolia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |