Kibatak-Angkola
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kibatak-Angkola nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWaangkola kwenye kisiwa chaSumatra. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Angkola imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Angkola iko katika kundi la Kibatak.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKibatak-Angkola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |