Kibarapasi
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kibarapasi nilugha ya Kipapua nchiniIndonesia inayozungumzwa naWabarapasi. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibarapasi imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibarapasi iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKibarapasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |