Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kibakati'-Rara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibakati'-Rara (piaKiluru) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia naMalaysia inayozungumzwa naWabakati' kwenye kisiwa chaKalimantan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibakati'-Rara nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 12,000. Pia kuna wasemaji 11,300 nchini Malaysia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibakati'-Rara iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKibakati'-Rara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kibakati%27-Rara&oldid=1284371"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp