Kibaima
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kibaima nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniUchina inayozungumzwa naWabaima. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibaima imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibaima iko katika kundi lake lenyewe la Kibaima.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKibaima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |