Jozi la viatu rasmi.Maonyesho ya aina mbalimbali za viatu.
Kiatu nibidhaa yenye lengo la kulinda na kustareheshamguu wabinadamu wakati wa kufanyashughuli mbalimbali. Pia kutumika kama bidhaa yamapambo namitindo, hasa kutokana na aina mbalimbali sana, tena tofauti kati yautamaduni mmoja na utamaduni mwingine.
Zaidi ya hayo, mitindo mara nyingi imefanya wengi kubuni mambo, kama vile viatu vyavisigino virefu au tambarare. Tofauti yagharama yake inatumika pia kujenga matabaka kati ya watu. Viatu viliiyotolewa na wabunifu maarufu vinaweza kuwa vyavifaa ghali, na kuuzwa kwamamia au hatamaelfu yadola za Marekani.
Baadhi ya viatu vinaundwa kwa madhumuni maalum, kama vilebuti iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya kupandamilima au kuteleza juu yatheluji.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.