Kias
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kias nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWaas kwenye kisiwa chaPapua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kias imehesabiwa kuwa watu 230 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kias iko katika kundi la Kiraja-Ampat.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKias kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |