Kiaore ilikuwalugha ya Kiaustronesia nchiniVanuatu iliyozungumzwa naWaaore kwenye kisiwa chaSanto. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaore, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaore iko katika kundi la Kioseaniki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiaore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |